Tuzo za Mo Simba zilianzishwa na Mwekezaji katika klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji kwa lengo la kutoa zawadi kwa wanafamilia wa Simba ambao wamesaidia klabu kupata mafanikio kwa msimu wa 2018/2019.

Tuzo hizi zitakuwa na vipengele 12 ambavyo vitahusisha wachezaji na mashabiki.

Kama shabiki wa Simba unaombwa kupiga kura hapa chini kuchagua Mchezaji Bora wa Mwaka, Goli Bora la Mwaka, Golikipa Bora wa Mwaka, Beki Bora wa Mwaka, Kiungo Bora wa Mwaka, Mshambuliaji Bora wa Mwaka, Mchezaji Bora Mdogo wa Mwaka na Shabiki Bora wa Mwaka.

Kwamaoni Mengine Tuma Kwa Whatsapp +255 769 270 840.
© 2018 Mo Simba Awards. All Rights Reserved.
Powered By Extreme Web Technologies